Recent content by Adqcos

  1. Adqcos

    SoC02 Matumizi holela ya dawa za binadamu yanaathari kubwa Sana kwa mtumiaji

    Nikianza kwa kutaka kujua kama ni sheria ambayo siyo thabiti juu ya matumizi ya dawa za binadamu au wasimamizi wa sheria ya matumizi ya dawa za binadamu ndiyo hawazisimamii inavyotakiwa au tatizo lipo kwa wadau wanaotumia sheria ya matumizi ya dawa za binadamu? Matumizi holela ya dawa za...
  2. Adqcos

    SoC02 Mfumo wa ajira katika Taasisi Binafsi za Afya na za Serikali

    Ijapokuwa changamoto za mfumo huu huwa zipo maeneo mbalimbali lakini napenda kujikita zaidi kwa wahitimu wa kada za Afya nchini ambao ni Madaktari, Afisa Tabibu, Wauguzi, wateknolojia Dawa, Wateknolojia Maabara na Afisa Tabibu Meno. Mifumo ya elimu kwa ajili ya kumuandaa mtu wa kusomea taaluma...
Back
Top Bottom