Recent content by Admin Bango

  1. A

    JamiiForums Tanzania DPP ashauriwa kukamilisha upelelezi haraka wa Kesi ya Mashekhe wa Uamsho au kuiondoa kesi hiyo Mahakamani

    Karibu katika uislam kaka upate kheri ya dunia na akhera
  2. A

    JamiiForums Tanzania DPP ashauriwa kukamilisha upelelezi haraka wa Kesi ya Mashekhe wa Uamsho au kuiondoa kesi hiyo Mahakamani

    Kwa ushahidi ipi Ni magaidi? Chuki tu, na tunajua munazotamka Ni chache kuliko zilizo vifuani mwenu
  3. A

    JamiiForums Tanzania DPP ashauriwa kukamilisha upelelezi haraka wa Kesi ya Mashekhe wa Uamsho au kuiondoa kesi hiyo Mahakamani

    Wewe chuki zako haziwezi kuleta ushahidi WA ugaidi, hizo Ni mbinu Za kuharibu taasisi ya uamsho tu na uislam, FYI wanashtumiwa kuwapa hifadhi magaidi wakati huo wakiwa ndani, unawezaje kumpa mtu hifadhi ikiwa gerezani
  4. A

    JamiiForums Tanzania DPP ashauriwa kukamilisha upelelezi haraka wa Kesi ya Mashekhe wa Uamsho au kuiondoa kesi hiyo Mahakamani

    Wewe ndio una kesi ya kujibu huleti ushahidi kazi porojo tu kama dpp hajapata ushahidi utapat wewe, hakuna mahubiri ya chuki Zanzibar tokea asubuhi rabda wewe tu ndio una chuki zako, hakuna mzanzibari ataeua padri Au kuchoma kanisa, soma historia
  5. A

    JamiiForums Tanzania DPP ashauriwa kukamilisha upelelezi haraka wa Kesi ya Mashekhe wa Uamsho au kuiondoa kesi hiyo Mahakamani

    Makanisa wamechoma wenyewe,hakuna mzanzibari atakaechoma kanisa, zanzibar Makanisa yapo muda mrefu sana soma historia
  6. A

    JamiiForums Tanzania DPP ashauriwa kukamilisha upelelezi haraka wa Kesi ya Mashekhe wa Uamsho au kuiondoa kesi hiyo Mahakamani

    Lete ushahidi hatutaki ushabiki wa kibubusa na kufuata you mkumbo, chuki hazijengi,jiengeze
Back
Top Bottom