Recent content by AdjuctCothema

  1. A

    JamiiForums Tanzania Salary scale

    Habari zenu wapendwa nlikua naomba kujuzwa salary scale za HESLB 4 ni kiasi gani
  2. A

    JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu Oral Interview za Utumishi

    Kuna rumors zilikuWa kule kwa ile interview inaweza kurudiwa upya.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu Oral Interview za Utumishi

    So inaamanisha kama mwezi na nusu ndo majibu ya usaili yatoke dear?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu Oral Interview za Utumishi

    Wapendwa Habari zenu. Samahani nilikuwa naomba kuuliza majibu ya usaili wa ana kwa ana (oral interview) ya utumishi huwa yanatoka baada ya muda gani. Walisema wiki 2 mpka tatu lakini ni wiki ya 4 hii naona kimya hakuna update yoyote ile. Asanteni.
Back
Top Bottom