Recent content by Adiosamigo

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mojtaba Khamenei Alisha AANGAMIZWA siku nyingi zinazoendelea sasa ni swaga tu!!!!

    Mtoa mada ni kenge hajui anacho ongea eti Mujtaba kafa hizo ni ndota za basha wako Netanyahu
  2. A

    JamiiForums Tanzania Video: Netanyahu ahutubia viti vitupu wajumbe wengi wasusa kumsikiliza

    We kenge msafisha vyoo Tela Aviv anzeni kusafisha vyoo karibu Hezbullah atakinukisha huko
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mwanauchumi Mkuu wa Benki ya Urusi afutwa kazi baada ya kukosoa uchumi wa nchi madhara ya vita na Ukraine

    Kenge anaongelea uchumi labda uchumi wa kuwachwa na mamba
  4. A

    JamiiForums Tanzania Iran na nguvu zake alizonazo ameshindwa nini kuvunja US Naval blockade?

    Mtoa mada nani anaye kuambia Iran anashindwa kuzizamisha Careers za USA na nani anaye kuambia zipo Hormuz Iran hawezi kucheza karata zake zote lakini hizo Careers alizipiga mwanzo na zilikimbia zikaenda zingine mpaa kutengenezwa au unajitoa fahamu. Al Houth walizitandika na zilikimbia pia...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mamia ya silaha za Magaidi wa Hezbollah zagunduliwa na Askari wa Israel huko Lebanon!!

    Huna jipya hizo silaha unazipost week nzima tena ni makombora bila launchers nimekufahimisha lakini wewe kwa kuwa ni kenge unamini kila kitu anacho post Israel kwenye propoganda war. Hao walio kufa dalili yako ni ipi kama ni wanamgambo wa Hezboullah kwa hio kila gari likipigwa na wakifa raia ni...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mamia ya silaha za Magaidi wa Hezbollah zagunduliwa na Askari wa Israel huko Lebanon!!

    Hebu tuonyeshe wapo wapi hao magaidi tuonyeshe kuanzia week mbili zilizopita mpaa leo tuone kama maneno yako ni kweli
  7. A

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas wanahifadhi Makombola Yao kwenye mahandaki!!

    Jinga sana hilo
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mamia ya silaha za Magaidi wa Hezbollah zagunduliwa na Askari wa Israel huko Lebanon!!

    Wacha ndoto Hezbullah wako very strong yule Puppets alikimbilia kusign mkataba na Isreal ndio Hezbullah akawacha awaone wataishia wapi sababu wananchi wa Lebanon wasidai Hezbullah ndio hawataki peace
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mamia ya silaha za Magaidi wa Hezbollah zagunduliwa na Askari wa Israel huko Lebanon!!

    Hayo makombora bila launchers yatafanya nini kenge usidhani Israel atayatumia ni mzigo unabeba haukusaidii lolote
  10. A

    JamiiForums Tanzania Licha ya vitisho vya Iran Magaidi wa Hezbollah wanaendelea kupata kipondo huko Lebanon!!

    Wanatawala Lebanon hahaha wapo kwenye miji iliopo kwenye border sababu serekali ya Lebanon ni ya vibaraka iliwambia Hezbullah warudi nyuma ya mto Letani ndipo walipo pata chance lakini wataondoka tu
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kombora Jericho likiandaliwa rasmi tayari kwa kazi huko Iran!!

    Nilikuambia wewe ni kenge unabisha Israel anawazika kisisiri wewe unaniambia nikupe ushahidi hivi wewe akili zako zimepindia kuelekea matakoni Israel aruhusu uchukue picture ikiwa Missiles za Iran alizuia watu wasitoe aruhusu aibu zake za sisiri zitolewe
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mamia ya silaha za Magaidi wa Hezbollah zagunduliwa na Askari wa Israel huko Lebanon!!

    Nilikuambia wewe ni kenge hizo silaha wamezikuta nje au ndani ya majumba afu nikikuambia wewe huna hata background ya military ndio sababu unaona hizo ni silaha wakati hayo no makombora yanarushwa kwa kutumia launchers zipo wapi launchers hapo. Hizo silaha hazina mana kama launchers hazipo.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kombora Jericho likiandaliwa rasmi tayari kwa kazi huko Iran!!

    Kweli sababu wakiuwawa wanazikwa kimya kimya ndio sababu
  14. A

    JamiiForums Tanzania Licha ya vitisho vya Iran Magaidi wa Hezbollah wanaendelea kupata kipondo huko Lebanon!!

    Wewe ulisha tuambia Hezbullah kisha hana uwezo wa kurusha hata risasi baadaye Israel ikacharazwa na Hezbullah uilipotea humu na karibuni utapotea humu.
Back
Top Bottom