Recent content by Adinan Abdul

  1. Adinan Abdul

    JamiiForums Nahitaji Usafiri wa Lusaka-Dar

    Sijaelewa vizuri hapo mkuu, kama hautojali nicheck whatsapp au direct call kwa namba hii 0677 055 660
  2. Adinan Abdul

    JamiiForums Nahitaji Usafiri wa Lusaka-Dar

    Nina mzigo kutoka Lusaka kwenda Dar. Natafuta gari ya kuusafirisha kama Loose Cargo. Uzito: Tani 2.5 Ujazo: Kama nusu ya Ujazo wa Canter Aina ya mali: Bomba za mpira za 1/2" zilizoviringishwa kwenye mduara. Mfano wa bomba za kumwagilia bustanini zikiwa hazijafungiliwa. Mawasiliano: 0677 055 660
Back
Top Bottom