Sawa mkuu, maeneo mazuri ni Lengati, Grosari, Mbigiri ,pori namba moja na namba mbili kwa sababu yapo karibu na mjini , barabara zipo Hadi mashambani ,pia miundombinu ya umeme na maji yapo karibu, kuna bwawa ambalo halijakauka maji misimu mitatu Sasa, pia samaki wapo ukitaka kitoweo[emoji3]