Kwa mwenye uhitaji anipigie 0684101707, nimeweka picha hapo haijakamilika sina picha nyingi maana nilikifungua pindi tu nimejifungua, kitanda kina hali nzuri,
TUNAUZA NYANYA FRESH KWA JUMLA NA REJA REJA! SHAMBA LIPO KINYEREZI, NA TUNAPATIKANA HAPA HAPA KINYEREZI!
NYANYA MBEGU YA KENYA!
IMARA SANA NA HAZIHARIBIKI KWA HARAKA,
NIPIGIE 0684101707, NYANYA KWENYE MBOGA TAMU SANA! TUNETUMIA MBOLEA ASILIA, KARIBU SANA!
Habari, Kuna mtaalamu kaniomba nitoe ushauri kuhusiana na hili swala, " ampeleke mtoto huyo hospital achunguzwe bakteria wa mafua watakuwa wameingia kwenye cell nyeupe za damu, hilo limekuwa tatizo kubwa la watoto wengi wa umri huo na mara nyingi hospital huwa zinashindwa kulitambua hiyo Hali...
Jamani hii nilishaipost narudia tena sasahivi kwa kuweka gharama yake maana naona watu wengi walikuwa wanaongelea pesa ambazo sijaziandika,
HIYO SET KWENYE PICHA NI STAND YA TV INA NA COFFEE TABLE YAKE, JAPO KIOO CHA COFEE TABLE KIMEPASUKA NI CHA KUBADILI, KWAHIVYO NAUZA ZOTE MBILI KWA 90,000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.