Habari wadau wa JF, nahitaji supplier wa maembe mzigo wa jumla ndani ya mwaka mzima. Kwa mwenye taarifa yoyote yenye kusaidia anaweza nitafuta kwa 0756958798 muda wowote.
Habari wadau wa JF, natafuta mtu wa kuwa supplier wangu wa maembe kwa jumla, maembe ni kwa ajili ya juice hivyo yawe matamu (yenye sukari nyingi).
Kwa anaefahamu mtu tuwasiliane 0756958798.
Ukubwa: SQM 560 (25.5m × 22m)
Kipo rwamishenye, Bukoba Manispaa.
Ni km 3 kutoka katikati ya mji.
Kina documents zote, huduma zote zipo maji, umeme, access ya barabara nzuri tu.
Kipo mjini kabisa. Kwa mazungumzo piga 0756958798
Shukrani mkuu, ila hii naona ni centrifugal juicer. Vipi ilio bora kwa upande wa cold press juicer ni ipi kwa range hiyo hiyo ya bei?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona watu wengi hawafahamu chia ni nini. Naomba nifafanue.
Chia au maarufu kama chia seeds ni jamii ya mimea kama ufuta/ulezi. Zimejipatia umaarufu miaka ya hivi karibuni kwa kuwasaidia watu wanaotaka kupunguza mwili na kuboresha afya ya uzazi. Chia seeds zina uwezo mkubwa wa kuunguza mafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.