Recent content by adeh1

  1. adeh1

    Msaada: Nashindwa kubadilisha cheti Ajira Portal kuweka kilichokuwa certified

    Nimejaribu kote kwenye simu na computer majibu imeniletea Yale Yale ila saizi natumia simu
  2. adeh1

    Msaada: Nashindwa kubadilisha cheti Ajira Portal kuweka kilichokuwa certified

    Hapo penye edit ni ki upload file ndo wananiletea hivo
  3. adeh1

    Msaada: Nashindwa kubadilisha cheti Ajira Portal kuweka kilichokuwa certified

    Hapo pa kuedit ndo kila nikiedit naletewa Hilo jibu na cheti hakibadiliki kinabaki kile kile
  4. adeh1

    Msaada: Nashindwa kubadilisha cheti Ajira Portal kuweka kilichokuwa certified

    Hamna option ya kufuta kuna ya kuedit na kuview basi
  5. adeh1

    Msaada: Nashindwa kubadilisha cheti Ajira Portal kuweka kilichokuwa certified

    Nimebadili browser na nimejaribu kichange format mpaka 93kb lakini bado inaniletea jibu hilo hilo
  6. adeh1

    Msaada: Nashindwa kubadilisha cheti Ajira Portal kuweka kilichokuwa certified

    Msaada jamani nashindwa Kubadilisha cheti ajira portal kuweka kilichokuwa certified. Kila nikojaribu naletewa hivi.
Back
Top Bottom