Recent content by Adam mandai

  1. A

    JamiiForums Tanzania Gari ya Town Ace pickup 4W ipoje? Nataka kuijua kabla sijafanya maamuzi ya kuinunua?

    Habari wanajamiiForums, natumaini mko salama na wazima. Naomba kufahamu zaidi kuhusu bei ya gari aina ya Toyota TownAce Pickup 4WD, hasa ikiwa ni mpya. Bei yake kwa sasa ni kiasi gani? Hii ni mara yangu ya kwanza kutaka kununua gari, hivyo naomba pia ushauri kuhusu mambo muhimu ya kuzingatia...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Gari ya Town Ace pickup 4W ipoje? Nataka kuijua kabla sijafanya maamuzi ya kuinunua?

    Nahitaji gari town Ace pickup 4W mpya au used naomba msada kwa mwenye uelewa nazo anipitishe kwenye darasa kabla sijachukua hatua yeyote ya manunuzi. Asante 🙏🏾 Naishi Lindi.
Back
Top Bottom