SHAMBA LINAUZWA
Shamba lenye ukubwa wa ekari 80 linauzwa. Shamba lipo Mufindi (Kata yaIhanu, Kijiji cha Isipii).
Shamba lina hati miliki na linafaa kwa upandaji wa mitiya mbao (pine), upandaji wa miti ya nguzo, upandaji wa miti ya matunda na ufugaji.
Bei ya ekari moja ni shilling za Kitanzania...