Kuna wakati nawaelewa sana, ila kuna wakati mnafanya mambo mengine yanakatisha tamaa sisi tunaojipinda kuangalia status za shortlisted au not shortlisted. Mfumo ulihitaji niweke documents certified na nimefanya hivyo mapema sana. Nikafanikiwa kuitwa kwa interview.
Maajabu ni kuwa nimeapply...
Kama mzazi na ndugu wa baadhi ya wanafunzi wanaosoma katika shule ya sekondari LYAMUNGO iliyopo Wilaya ya Hai, Kilimanjaro; tungeomba TAMISEMI na Wizara ya Elimu wawe wazi kuhusu maisha halisi katika baadhi ya shule ili wazazi wawe na uhuru wa kuchagua wapi kijana wao patamfaa kupata taaluma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.