Recent content by AbuFizzer

  1. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Kwa mtindo wako nacheka. Maana ili uelewe lazima uanze kusoma komenti yangu ya kwanza mpaka hii ninayoandika. Ili dhana zako zirekebike. Kimantiki unaonekana unaamini kabla ya kuhoji waswahili wanasema kukubali kibubusa. Maana Huna na hautakuwa nalo la kumhoji mzee kachumvi. Ulishaamini sasa...
  2. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Una akili nyingi sana. Iwapo Juma Njemba alikuwa mchawi huo utajiri na kuishi Kama yupo peponi ulitokea wapi??????? Njia hata ifichwe na miba itabaki kuwa njia tu
  3. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Nakufahamisha tena na tena!! Ukimgusa mzee huyo umeugusa mtaa alioishi na jamii yake. Hivyo mimi ni sehemu ya watu wa mtaa huo. Sipingi kuwa hivyo "zikiletwa" inategemea wakati huo nilikuwa upande gani, nipo mtaani kwangu na waletaji wameleta hapo. Nawezaje kusema "zikipelekwa"?? Kuhusu...
  4. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Kiswali kidogo lakini kizitooooo....!
  5. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Basi huyo ndio aliyeheshimiwa mno Chief wa Wahombo wa Ujiji. Kuhusu kuogopewa watu wa Kigoma Ujiji hawaogopi mtu na hawakuwahi kumuogopa mtu wao huogopa Mungu tu. Muulizeni Zitto Kabwe
  6. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Haitokei kamwe kuhitaji kuwa mlaghai wa waganga. Nachangia Kama mwana Jf. Na hii ni haki yangu, ndio maana sijamshawishi mtu kwa lolote la urithi wa Juma Njemba
  7. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Utakuwa nawe ni miongoni mwa wanaosoma ili kujibu" lakini hapana utakuwa umesahau kuwa hujaona poppet mimi nikiwa mwanafamilia yake, hata ilipotajwa sikuandika poppet kuwa mimi ni mwanafamilia. Sijaoa wala kuolewa! Napata ujasiri kwa kuwa taarifa yangu Kama itakuwa na mapungufu si ya kukusudia...
  8. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Hilo umesema kweli sisi sio wazembe katika kutetea tunachokiamini. Ni hakika lakini pia hatuvunji heshima za watu wala kusema uongo. Tunaweza kujitetea kwa muda wote labda tuwe hatuna wezesho la utetezi wetu. Lakini nondo tunazo[emoji4]
  9. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Sass Kama ni hivyo aliishi wapi??
  10. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Swali zuri sana! Huyu kwenye labial lake alikuwa ni chief, na alikuwa ni mkuu wa ngoma za makabila yake pia, acha Kigoma alikuwa ni chief wao kwa Tanzania hii, toka ikiitwa Tanganyika. 1963 Kama sikukosea nchi yetu ilifuta utaratibu wa kuwatawalisha machifu. Lakini baadhi ya Jamii ziliendelea...
  11. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Mbona hakuishi mbinguni aliishi hapa duniani. Na Zaidi ya yote majirani zake wapo! Unadhani kuuwa watu 2000 halafu uzao upo na hakuna kisasi? Uovu wote huo lakini mnawachoma moto wenye macho mekundu yeye anadunda tu. Eti aliishi Kama yupo peponi, mtu ambaye hakumiliki hata baiskeli, anapanda...
  12. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Hii huiita akili kubwa Mara zote. Hapa suala ni fact tu. Matusi hayana fursa kabisa! Nakubali fikra chanya.
Back
Top Bottom