Recent content by abja

  1. abja

    Kutishiana kuachana kila wakati

    nijipange kufanya yangu mapemaaaa
  2. abja

    Kutishiana kuachana kila wakati

    hili nalo neno
  3. abja

    Kutishiana kuachana kila wakati

    mwingine unakuta makosa anayachokonoa mwenyew ukireact anakimbilia kusema kuanzia leo mi na ww basi
  4. abja

    Kutishiana kuachana kila wakati

    duh acha nijipange
  5. abja

    Kutishiana kuachana kila wakati

    hivi kuna aliyewahi kupitia hili! unakua na mwanaume au mwanamke ambaye mkigombana kidogo tu anakutushia kuanzia leo mi na wewe basi mara nitambue kama mzazi mwenzio tu kuanzia leo hivi hii inaashiria nini baada ya muda mfupi anaomba msamaha na kukanusha kauli yake
Back
Top Bottom