Bila kupoteza muda, Kama mada tajwa hapo juu mimi nikijana mkulima na mfugaji napambania ndoto zangu za kujikwamua na huu umaskini, mwenye kuhitaji au kujua soko lilipo la mashine za kupulizia dawa ( sprayer pump 16L/2L), na spareparts zake kama spare complete za chuma, bati na plastiki, pamoja...
Bila kupoteza muda mimi ni mkulima napambana kujikwamua kimaisha, ingawa sisi wakulima tunadharaulika sana ila tukazeni tu ipo sku tutaheshimika.
Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, mwenye kutaka au kujua soko lilipo kwa vtu kama pump za kupulizia dawa (sprayer pump 16L), au ndogo...
Bila kupoteza muda nyakati ndizo hzi kuingia kwenye kilimo tena, karbuni sana kwa mahitaji ya sprayer pump 16L na ndgo 2L, spare complete (chuma, bati na plastic), nozzle na rubber za ina mbalimbali.
Karbuni sana kwa ajili ya kuongeza productivity pamoja na kusukuma gurudumu la kilimo mbele...
Fata huu ushauri mzuri sana, lakini pia weusi kweny meno unaeza ukawa pia unasababishwa na utumiaj wa kahawa, sigara etc, cha msing nenda hospital kwa ajili ya checkup na usafishwe kwa kutumia vifaa maalum huo weusi utaisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.