Recent content by AbdurRahman

  1. AbdurRahman

    Natafuta kazi nimesomea fani ya umeme

    Pamoja MJUMBE kweli hili jukwaa ni Msaada sanaa kwetu sote
  2. AbdurRahman

    Natafuta kazi nimesomea fani ya umeme

    Shukran kwa kunifahamisha kitu kipya sikuwa najua b4...Pia naweka masahihisho hapo kutokana na uelewa uliojitokeza kwa watu ambao sikutarajia "Ni hivi tangu mwanzo naomba kufanya hapo walisema ruksa lkn hawatonilipa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao,,,Mimi nilikubali kwa lengo la kupata...
  3. AbdurRahman

    Natafuta kazi nimesomea fani ya umeme

    Naam kaka bila samahan....Wote ni Wahanga hakuna tatizo!
  4. AbdurRahman

    Natafuta kazi nimesomea fani ya umeme

    Contacts: 0654409392 Email: omaryhassan91@gmail.com
  5. AbdurRahman

    Natafuta kazi nimesomea fani ya umeme

    Mkuu; Nimeandika In short na km ukisoma vzr hayo uliyoyauliza yapo kasoro uzoefu: okay Nimemaliza Mbeya University of Science and Technology course ni bachelor degree of Electrical and electronics Engineering mwaka 2019; Ninauzoefu wa field TANESCO na viwandani na Wiring za majumbani pia...
  6. AbdurRahman

    Natafuta kazi nimesomea fani ya umeme

    Ushindwe ww ss kunipa mchongo
  7. AbdurRahman

    Natafuta kazi nimesomea fani ya umeme

    Is the process in which the air around the conductor get ionized which results luminous glow with hissing noise.
  8. AbdurRahman

    Natafuta kazi nimesomea fani ya umeme

    Shukran kwa ushauri...taufanyia kazi
  9. AbdurRahman

    Natafuta kazi nimesomea fani ya umeme

    Habari! Natafuta Ajira nimesomea uhandisi wa Umeme 'MUST', nimemaliza mwaka 2019. kazi yoyote ya Umeme nipo tyr kufanya hata Kama ni wiring n.k,,, Kwasasa napatikana Morogoro 'Msamvu', Nahitaji msaada wenu nipate japo connection niapate kazi ya kusogeza maisha. Simu 0654409392
Back
Top Bottom