Mfano mwezi ulioisha nilifatilia kibali cha kusafirisha kenge nje ikashindikana ila nikaambiwa watu wa zuu pekee ndio wanapewa lessen za kusafirisha wanyama ila mim nasemea kenge sijui kama kenge ni mnyama ila najua ni mdudu swal langu kwenu naomba mnisaidie kama kweli sihaki yangu kusafirisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.