Recent content by Abdull hamid

  1. A

    JamiiForums Dawa ya kuzibua pua ni ipi?

    Sawa mkuu ngoja niende hosptali kubwa mana hzi ndogo nimeshazimaliza kwa kweli Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
  2. A

    JamiiForums Dawa ya kuzibua pua ni ipi?

    Ok ahsante Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
  3. A

    JamiiForums Dawa ya kuzibua pua ni ipi?

    Hahahahaha dah nitaiwez kweli Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
  4. A

    JamiiForums Dawa ya kuzibua pua ni ipi?

    Ok mkuu Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
  5. A

    JamiiForums Dawa ya kuzibua pua ni ipi?

    Sawa ndugu Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
  6. A

    JamiiForums Dawa ya kuzibua pua ni ipi?

    Ok mkuu nitajaribu iyo Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
  7. A

    JamiiForums Dawa ya kuzibua pua ni ipi?

    Jamani pua imekataa kuzibuka kazi yake ni kupishana tundu mda huu inaziba hii mda mwengine inaziba hii na harufu ndo haipatikani kabisa hadi kichwa kinauma naanza kuogopa sasa leo naitaji mawazo menginw washauri wangu Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
  8. A

    JamiiForums Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

    Sawa mkuu nitafanya ivo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. A

    JamiiForums Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

    Yes ni kweli apo kuna ndo tatizo mkuu maana unakula tu chakula bila kuskia harufu yake halii inanitesa sana hii Sent using Jamii Forums mobile app
  10. A

    JamiiForums Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

    Hlf wanasema kuwa na mkojo mchafu inachangia hali hii kuna ukweli apo? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. A

    JamiiForums Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

    Sawa bhana nitaenda kwa doctor bingwa wa pua kuna mtu alinambia nitumie malimau na tangawizi ila leo sijamuona akaja kunielekeza jinsi ya kutumia Sent using Jamii Forums mobile app
  12. A

    JamiiForums Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

    Corrona ???kwanino dalili ya corona ni kuziba pua na kupoteza uwezo wa kunusa? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. A

    JamiiForums Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

    Ata mm sijapoteza taste ya chakula ila nimepoteza ya kunusa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. A

    JamiiForums Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

    Ulipewa dawa za aina gani mana mm nilishaenda hosptali sana wananipa tu vidonge na dawa ya kutia kwenye pua ila haijanisaidia Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom