Kuna heka mbili zinauzwa karibu na Amani beach. Zipo karibu na bahari Wilaya ya Temeke, Minondo. Bei Shs 120,000,000/- kwa maelezo zaidi tupigie sim 0717314500.
Kiwanja karibu na hotel ya Amani beach chenye ukumbwa wa heka mbili kinauzwa. Bei Shs 120,000,000/- kwa heka. Kipo Minondo karibu na hotel za Amani beach na Pretoria. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia namba hii 0717314500.
Kwa wanaohitaji mfanyakazi/wafanyakazi wa kiume hapa Dar es Salaam, tafadhali wasiliana nasi kupitia namba hii 0717314500.
Zingatia.
Ni wa full time uwe na sehem ya kulala uhakika wa kula na matibabu endapo ataugua.
Mshahara kwa mwezi.
Asante.
Vipi umeshafanikiwa kupata kiwanja? Kama bado na malengo yapo palepale basi wasiliana na sisi kupitia namba 0717314500 jitambulishe na eleza shida yako utashughulikiwa.
Hali yako, mimi nimfugaji wa samaki aina ya sato na kambale. Nina zalisha vifaranga wa sato na unaweza kututembelea ili upate kujionea mwenyewe tupo Cheka njia ya kwenda Kimbiji.
Kwa mawasiliano piga namba hii 0717314500 Abdul.
Kwa mahitaji yako ya viranga vya sato tafadhali wasiliana nasi kupitia namba hii 0717314500. Tupo Dar es Salaam Cheka, njia ya kwenda Kimbiji Kilomita 24 kutoka Kigamboni Ferry. Vifaranga vipo vya mda wa wiki moja na vya mwezi mmoja na bei zetu ni Shs 200/- hadi Shs 500. Nyote mnakaribishwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.