JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
Natafuta/mpenzi
Mimi ni mwanaume wa miaka 26 muislam ninaishi Dar, mweupe mrefu mwenye mwili kidogo natafuta mpenzi mwanamke mzuri (sio uzuri wa muonekano tu, na uzuri kutoka rohoni) anaye ishi Dar
Au mkoa wowote ambaye yuko serious anatafuta mpenzi kama mimi, hata kama huna kazi usijali(angalau uwe na akili...