Ninaanza kwa salamu kwani siku zote huwa ni jambo la hekima pale popote linapotamkwa(muhali gani), ingawa mimi ni mgeni katika JF ila nahisi umeongelea kitu ambacho moyo wangu umekuwa na shauku ya kuongezea chochote katika hili@Eiyer
Mda mwengine ufahamu mbaya juu ya mambo unaweza ukapelekea...
Mwenyezi Mungu hakuumumba binadamu halafu akamuachia tu aishi anavvotaka, bila shaka amempangia taratibu na mfumo mzima ambao yeye anatakiwia aishi, ili lengo la yeye kiumbe kuwepo hapa duniani lifikiwe, ndomana akatultea muongozo (wahy) kupitia huo jinsi gani tuishi, napia akatuelezea yale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.