Recent content by abdul kadir faraji

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wakusanyaji ushuru wa paking kariakoo

    Aah achna nao haoo cauz haoo ndo wale walaji wa pesa znapo patikana lazima watete matumbo yaoo hiyoo miundo mbinu inatekelezwa kwa hela ya parkng yaan gari inalupiwa mshaahara wa mtu halafu watu wanaunga mkono kodi kandamiz.....!
  2. A

    JamiiForums Tanzania Wakusanyaji ushuru wa paking kariakoo

    Karikoo kume kuwa na kero kubwa sn kwa wakazi wanaishi karikoo gharama zimekua ni kubwa kuliko kipato kinacho patikana leo ntazungumzia suala la paking ukimiliki gari mjini huwezi kukaa nayo kwa mtu wa kawaida labda ukubali ww uishi karikoo gar upaki magomeni gari zenyewe za mikopo ukimilik gari...
Back
Top Bottom