Bei inategemea na package! Lkn ifahamike kuwa hii package unayonunua ni pesa zako ambazo zinawekwa katika mfumo huo wa cryptocurrency! Faida yako ni pale value inapokuwa juu ndivyo na wewe unavyofaidika
Mfano zipo package kuanzia elfu 40, mimi nilianza na package ya 156k ambapo nilipata...
Wakuu kuna ambaye anafahamu mfumo wa Cryptocurrency especially Dagcoin? Nway Dagcoin ni cryptocurrency ambayo kwa sasa inafanya vizuri baada ya Bitcoin. Ni uwekezaji wa muda mrefu na faida zake hutokana na value ya currency inapokuwa juu! Karibuni sana tuweze kulijadili hili na binafsi nipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.