Recent content by Abdoun

  1. Abdoun

    Nahitaji malori mengi yanayorejea Tanzania kubeba mzigo mkubwa hapa Zambia

    Habari, Niko Zambia hapa na nahitaji malori kama 50 hivi yanayorejea Tanzania kutokea DRC au Zambia. Kuna mzigo wa kubeba kuleta Dar-es-Salaam. Mawasiliano please PM me your phone number. Ahsante.
  2. Abdoun

    Wanafunzi wa Kitanzania na Div 1 point 7 za kukaririshwa. Tinder ya Marekani yainunua Harmonica ya Cairo, Egypt

    Rudia kusoma tena, ikiwa bado hujaelewa rudia tena. Baada ya hapo kama bado hujaelewa then I am very sorry, I have nothing to help you!
  3. Abdoun

    Wanafunzi wa Kitanzania na Div 1 point 7 za kukaririshwa. Tinder ya Marekani yainunua Harmonica ya Cairo, Egypt

    Nimekuuliza swali kutoka kwenye mfano mmoja wa silaha... au na wewe Ni walewale wa IQ ndogo na wagumu kuelewa?
  4. Abdoun

    Wanafunzi wa Kitanzania na Div 1 point 7 za kukaririshwa. Tinder ya Marekani yainunua Harmonica ya Cairo, Egypt

    Ndio maana nakuambia hujaelewa kitu chochote kwenye hii Thread.. I don't blame you sababu obviously IQ yako ni Ndogo!
  5. Abdoun

    Wanafunzi wa Kitanzania na Div 1 point 7 za kukaririshwa. Tinder ya Marekani yainunua Harmonica ya Cairo, Egypt

    Kwanini ugunduzi wote wa silaha za kisasa zaidi unafanywa na Mataifa makuu mawili duniani yaani Urusi na Marekani? Je, wengine hawana "vipaji"
  6. Abdoun

    Wanafunzi wa Kitanzania na Div 1 point 7 za kukaririshwa. Tinder ya Marekani yainunua Harmonica ya Cairo, Egypt

    Kijana usilinganishe kuchora au sanaa/michezo na Technological Innovations!
Back
Top Bottom