Recent content by Abdi kassimu

  1. Abdi kassimu

    SoC02 Siwezi kushiriki uchawi; Maana ya sensa, faida kwa nchi na hasara zake kwa Taifa

    Mkuu kwahiyoo unataka kutuambiaa Toka tupatee uhuruu ni sensa ngapi zilizotokea Mkuu
  2. Abdi kassimu

    SoC02 Siwezi kushiriki uchawi; Maana ya sensa, faida kwa nchi na hasara zake kwa Taifa

    Ooohooo kumbee basii ni jamboo nzurii piaa asantee kwa kunipa kumbukumbu nzurii saana hiii .... #Jiandaee kuhesabiwaa
  3. Abdi kassimu

    SoC02 Siwezi kushiriki uchawi; Maana ya sensa, faida kwa nchi na hasara zake kwa Taifa

    Mwandishi mmoja wa kitabu alimaarufu "Ngoswe penzi kitovu Cha uzembe" Muhusika mmoja alisema KUHESABIWA KUNAENDANA NA IMANI ZA KICHAWI!!!! KUHESABIWA (SENSA) Nchi ya Tanzania inategemea kufanya sensa ya kuhesabu watu na makazii yaoo mnamo tarehe 23Agost 2022 .. kwa Imani kubwa tunaungana na...
  4. Abdi kassimu

    SoC02 Ukombozi na uharibifu ni nini?

    Ni zipi adhari na FAIDA za mitandao ya kijamii kwa jamii... Jamii ni Nini: Ni istilahi inayoelezea uwepo wa pamoja wa mwanadamu. Haitaji kila kitu ambacho mtu anafikiria kuwa nacho au hana, bali yale ya mambo ambayo kila mtu anayetenda kwa dhumuni maalumu. Mitandao: Ni huduma ambapo watu...
  5. Abdi kassimu

    SoC02 Zama za kujiajiri ni sasa

    Ndio njia pekee ya kuwaasa waweze kupambana katika KUJIAJIRI
  6. Abdi kassimu

    SoC02 Zama za kujiajiri ni sasa

    Ajira: Ni kazi yoyote ambayo mtu anafanya kwa malipo katika kampuni, ofisi za serikali au kwa mtu mwingine binafsi. KUJIAJIRI: ni ile hali ya kutegemea ajira Binafsi kuliko kutegemea kupewa Ajira na mtu Binafsi,kampuni au serikali. NI ZIPI FAIDA ZA KUJIAJIRI. 1. Ni njia bora ya kukufikisha...
Back
Top Bottom