Watu wengi wamekuwa wakipenda sana kuwatisha waliochaguliwa hasa first year kwamba SUA chungu
Si kweli kwamba SUA ni chungu but ni kweli kwamba SUA pana ugumu wake, Kudisco SUA ni kazi na pia ni rahisi
NI RAHISI kwasababu SUA ili ufaulu kwenda mwaka unaofuata according to sheri 13.2 na 13.3...
Karibu sana Mazimbu na kiukweli Informatics ni kozi nzuri na inaajira sana kwa watu wanaotoka SUA, ila jiandae kusolve hesabu kwa mwaka wa kwanza..... Ni course inayohitaji msuli wa ukweli............... Karibu sana na usihofu
Habari zenu. Wale mliochaguliwa SUA kwanza napenda kuwapongeza kwa kuchaguliwa SUA na pia napenda kuwakaribisha SUA. Kama mnamatatizo au mnahitaji kujua kitu usisite kuniinbox na nitaangalia jinsi ya kukusaidia. Hasa wale wa Campus ya Mazimbu na course ya B.Sc in Agricultural Economics and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.