Recent content by AB00

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tunauza Photocopy machines Canon Ir 2525i Used

    siwezi kupinga hizo bei munazosema, ila je ni lini mlipitia hizo bei? isejekuwa ni more than two years nyuma? mambo yamebadilika sana.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tunauza Photocopy machines Canon Ir 2525i Used

    Magomeni
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tunauza Photocopy machines Canon Ir 2525i Used

    Mkuu wino kimbembe vipi? mbona zimejaa mitaani, mimi binafsi ninazo, na zipo sehemu nyengine za bei zaa level tofauti
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tunauza Photocopy machines Canon Ir 2525i Used

    Tunauza Photocopy machines Canon Ir 2525i Used Bei ni 2,500,000/- kwa moja Tupo Zanzibar, tunaweza tuma Dar na hata mikoani ila gharama za utumaji zitakuwa juu ya mnunuzi.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tunauza Scientific Calculators fx-991 ES Plus na MS

    Tunauza Scientific Calculators Original za fx-991 ES PLUS pamoja fx-991 MS Bei ya fx-991 ES PLUS ni 65,000/- na fx-991 MS ni 60,000/- Tupo Zanzibar, tunaweza tuma Dar na hata mikoani ila gharama za utumaji zitakuwa juu ya mnunuzi. Nasisitiza kuwa ni Original na sio zile fake zilizojaa...
Back
Top Bottom