Recent content by aamohamed

  1. A

    JamiiForums Tanzania tuition mashuleni

    wana jf naomba msaada! kuna kipindi serikali ilipiga marufuku kufundisha tuition mashuleni. mwaka gani? nani alikuwa waziri? sheria( policy) gain ilitumika? asanteni
  2. A

    JamiiForums Tanzania Utumishi na malimbikizo ya mishahara

    kwa uchache nawajua wenzangu wanne ambao wako katika hali kama yangu. ila haya ni maelezo yangu binafsi. katika kipindi kilichokuwa kinarushwa na ITV na TBC taifa leo mida ya saa 12 jioni kuna mkurugenzi mmoja wa wizara hiyo kitengo cha (....sikumbuki ila kinahusiana na mambo ya kumbukumbu za...
Back
Top Bottom