Recent content by Aaaaaaa

  1. A

    Hapana, VodaCom wamefanya makosa na yatawagharimu kibiashara. Mfanyakazi wao ana maslahi nje!

    Kuitukana serikali sio issue ya kiasi kama mnavyo taka watu waamini jitaidini kusumbua akili zenu na nidham haiwezi kuja bila kuletwa lazima watu wajifunze kushindana kwa hoja na sio matusi
  2. A

    Viongozi na wanachama wa CHADEMA wanafanya vitu kwa mihemko

    Jiongeze kidogo mkuu wa mkoa anapo simama mahakamani kwa kutukanwa kwa nafasi yake sio jambo binasfi hiyo ni serikali acheni bla bla
  3. A

    Waziri Charles Tizeba Live ndani ya 360 kuelezea uwepo wa chakula nchini

    Nguvu inayotumika ni ndogo kuliko ile inasoyema kuna njaa so nadhani ni bola waongeze zaidi nguvu ili kuilewesha jamii
  4. A

    Waziri Tizeba: Tuna chakula cha kusaza. Apiga marufuku mtu yeyote kutoa taarifa za njaa

    Kaka huko ndio kwetu kunywa uji na maembe kwetu sio njaa ndio utamaduni wetu sema jingine
  5. A

    Waziri Tizeba: Tuna chakula cha kusaza. Apiga marufuku mtu yeyote kutoa taarifa za njaa

    Kupanda na kushuka kwa bei ya vyakula ni jambo la kawaida kutokana na msimu mkuu so tatizo issue watu wameichukulia kisiasa tofauti na uhalisia wake maana siku hizi kuna siasa za mlipuko sio matukio tena
  6. A

    Waziri Tizeba: Tuna chakula cha kusaza. Apiga marufuku mtu yeyote kutoa taarifa za njaa

    Unapokosoa na wewe uje na takwim halisi ili mshindane kwa hoja sio bla bla
  7. A

    Waziri Tizeba: Tuna chakula cha kusaza. Apiga marufuku mtu yeyote kutoa taarifa za njaa

    Njoo na takwim zako ni wapi wamekosa chakula na pesa wanayo la sivyo acha bla bla
  8. A

    Zitto: Serikali yalikoroga ujenzi standard gauge, wachina wanyimwa zabuni, wagoma kutoa pesa

    Mkuu tatizo la wanasiasa wasasa kila mtu analilia tumbo lake zitto toka issue ya NSFF kawa mdogo hama piriton kumbe nae alikuwa napiga kiana haya yote na mengine tutayasikia sana ni kwakuwa maslahi yao yameguswa
  9. A

    Zitto: Serikali yalikoroga ujenzi standard gauge, wachina wanyimwa zabuni, wagoma kutoa pesa

    Kama mkopo watatupa wachina sio lazima na mkandarasi atoke kwao ni jukumu la chi husika kuangali mkandarasi ambae atakizi vigezo vyao .kama unapewa mkopo kwa sharti kuwa wao ndio wakujengee hilo sasa ni suala jingine na ni lazima tuangalie kwa makini sana
  10. A

    Tanzania njia panda: Benki ya Dunia ina hisa mgodi wa Dutwa uliofutiwa leseni kujenga tenki la maji

    Kinacho sikitisha unaandika kanakwamba si mtanzania au hutuba ya rais ulisikiliza peke yako jarubuni kuwa wazalendo hata kidogo
  11. A

    Rais Magufuli: Magazeti yanayoandika kuna njaa yamenunuliwa na wanasiasa na wafanyabiashara

    Fuatilia kwa makini jinsi biashara kubwa zinavyo fanywa na wafanyabiashara wababaishaji na aina ya wanasia waliopo tanzania nafikili unaweza kuwa na mwanga na kinacho zungumzwa
  12. A

    Zitto Kabwe: Rais umeamua kuchagua upande wa wanaokupa taarifa za uongo na majungu, muda utasema

    Sifa kubwa ya kuitwa mwanaume ni kubadikika kutokana na mazingara lakini wamaume wa kileo kila siku ni kulalamika kuliko dada zao fanyeni kazi acheni bla bla
  13. A

    Kadi za Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) na ubora wa huduma ya Afya inayotolewa

    Unaweza kupata insurance ya familia baba,mama na watoto 4 unapewa green card kwa sh 1.6 m last year ilikuwa almost 1m ila kwa sasa imepanda mimi mwenyewe nalipa individual sijaajiliwa na huduma zao ni nzuri kwa kweli sawa insurance nyingine ambazo bei yake kwa mwaka ni kubwa sana si chini ya...
  14. A

    Wakurugenzi TANESCO wasimamishwa kazi, mmoja ajiuzulu!

    Kwa kweli mimi niliona kama magu alikuwa na kigugumizi kuwatumbua hawa watu nankwanza kachelewa sana maana hawa walitakiwa kutumbuliwa longtime ago hakuna sehemu ambayo mtu ukienda unakereka kama tanesco kwanza ni kazima ukubali kuanza shughuri zako siku zima kwa issue ndogo sana kwa kweli...
Back
Top Bottom