Recent content by a_ngaza

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi PHK Poyclinic

    UPDATE:- Kwa wale waliopo mikoani, mnaweza kututumia maombi kupitia anwani yetu ya barua pepe: phkpolyclinic@gmail.com
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi PHK Poyclinic

    Kwa maabara zote mbili zinakubalika mkuu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi PHK Poyclinic

    Askari wa motoni deadline ni wiki 2 kwanzia leo yaani tarehe 24 mwezi huu. Atakayetuma maombi ndani ya muda huo atakuwa na nafasi nzuri ya kuitwa kwenye interview. Watakaochelewa ku apply watawekwa kwenye waiting list ya interview ya awamu ijayo.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi PHK Poyclinic

    PHK POLYCLINIC IMESAJILIWA NA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII JINSIA WAZEE NA WATOTO NAMBA ZA USAJILI : 072565 INAPATIKANA KINYEREZI MBUYUNI, NJIAPANDA YA KUELEKEA AIRPORT NAFASI ZILIOZOPO:- 1. MEDICAL OFFICER (2) Vigezo :- Awe na degree ya udaktari kutoka chuo kinachotambulika. Awe na...
Back
Top Bottom