Recent content by a-zeem

  1. A

    1st year udsm computer science students Tusaidiane

    habari zenu jamani. hivi 1st year wa computer science tunatakiwa kuripoti lini shuleni kwa ajili ya masomo. na pia tunatakiwa tukutane wapi. Na pia ratiba ni kivp kuhusu 1st day. Thanks In Advance
  2. A

    kwa 1st year wote udsm waishio dar.

    powah thanks bro xante
  3. A

    kwa 1st year wote udsm waishio dar.

    lakini hiyo campus ya CoICT ipo kwenye eneo ya main kampus au ? kwa kuwa sijui hiyo nkurumah hall liko wapi .
  4. A

    Live Orientation: kwa wale wa UDSM

    jamani campus ya CoICT ipo eneo gani ??????????????
  5. A

    Wale wa udsm

    jamani hivi campus ya CoICT ya UDSm ni upande gani ?
  6. A

    kwa 1st year wote udsm waishio dar.

    jamani hiyo campus ya CoICT,udsm ipo sehemu gani ?
  7. A

    Udsm joining instruction plus admission letter

    aise jamani samahani kwa kuulizeni tena, hivi je hizo admission letters zimeshaaanza kutoka udsm au mpaka siku ya orientation tuttazipata??????????????? na je, kuna malipo yeyote ya awali kabla orientation tunayotakiwa kuzi lipia?????????????????????????????
  8. A

    Maelekezo kwa wale waliochaguliwa kujiunga na udsm

    sawa zipo. lakini wamesha anza kuzitoa. kwani mtandao yetu ya bonga na ile ya ud ni bom. kwao wanasema watatuarifu kwenya website yao lakini.,,, ahhhh bado tu. !!!!!!!!!!1
  9. A

    Maelekezo kwa wale waliochaguliwa kujiunga na udsm

    poa poa. tusubiri. lakini nina doubts kwamba kuna sumthng fishy.
  10. A

    Maelekezo kwa wale waliochaguliwa kujiunga na udsm

    nilienda juma3, wakaniambia kwmba wataiweka kwenye mtandao, pia jana niliwapigia simu na wakaniambia bado, sasa sijui ni kivp. kwani uni zingine kama kairuki wamesha pata admission letter zao
  11. A

  12. A

    wale wa udsm tufamiane apa

    aise jamaani, hivi admission letters za udsm zimeshaanza kutokaa ????????????/
  13. A

    Maelekezo kwa wale waliochaguliwa kujiunga na udsm

    hivi admission letters zimeshatoka, UDSM ??????????/
  14. A

    Msaada jaman.

    aise jamani, hivi admission letters za UDSM zimeshatoka au bado ?
  15. A

    Waliochaguliwa UDSM undergraduate

    aise jamaani, hivi admission letter tayari zimeshatokaaaa udsm ??????????????/
Back
Top Bottom