Recent content by A warrior

  1. A warrior

    JamiiForums Recycling ya viongozi,Rais asilaimiwe idadi ya watanzania ni kubwa sawa na UK na S.Africa ila watanzania wengi hatuna uwezo kichwani

    Jameni kwani ni lazima wabunge ndio wawe mawaziri?kama hiyo ndio Sheria bc ibadilishwe kwa sababu ndio maana baadhi ya wabunge wanashindwanda kutatua shida za wananchi huko kwa majimbo yao,haiwezekani kabisa mbunge awe waziri!! Wabunge waachwe huko watunge Sheria na wapitishe bajeti za...
  2. A warrior

    JamiiForums Rais Samia ile Katiba pendekezwa ya Mzee Warioba si ipo? Kwahiyo tusiendelee nayo na tusipoteze Pesa katika Tume unayotaka Kuiunda?

    Ni ukweli kwamba kamati Ile ya kuipendekeza katiba mpya ya mwaka 2014 chini ya kiongozi warioba ilikubalika kwa asilimia 80,lakini ukisema hakuna haja ya kutumia pesa kuiunda kamati mpya je hizo asilimia 20 zilizobaki ili katiba iwe imekubalika kwa asilimia 100 zitapatikanaje?,ni vizuri tu kama...
  3. A warrior

    JamiiForums CHADEMA waelewe Katiba Mpya ni ya JMT siyo ya Tanganyika hivyo Zanzibar Wana 50% ya Maamuzi

    Kama Zanzibar imo ndani ya katiba ya tz,kwa nn bc iitwe nchi Hadi ifike kiwango Cha kuwa na rais?kwa kawaida tunaifahamu kwamba mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar ziliungana kuiunda tz na sio tanzania Zanzibar!!!!!,means that Zanzibar sio nchi,ni mkoa wa pwani,na Haina hadhi ya kuwa na rais,so...
  4. A warrior

    JamiiForums Mabadiliko ya Katiba ya Kenya, wanaodai Katiba Mpya Tanzania mnalo la kujifunza

    Hilo hatukatai lakini,acha katiba ibadilishwe pia inaonekana imezeeka,pengine Kuna Mambo mapya yatawekwa mlo na mengine yatapunguzwa,na huwezi ukajua yatakayoongezwa mle kwenye katiba mpya yatazaidiaje,ama yatakayopunguzwa yataleta faida gani
  5. A warrior

    JamiiForums Umuhimu wa Katiba Mpya

    Nchi inahitaji kuwa na katiba mpya pamoja na tume huru ya uchaguzi, toka miaka ya sitini mpaka Sasa nchi hii haijawahi ongozwa na chama kingine zaidi ya CCM. Nchi ina mfumo wa vyama vingi vya siasa na vinashiriki uchaguzi Kila baada ya miaka mitano, kutokana na ukosefu wa uhuru katika taasisi...
Back
Top Bottom