Recent content by A De prince

  1. A De prince

    Nahitaji ushauri kumpata mke wangu mtarajiwq

    Bro nmekuwa single kitambo sana sababu ya shule had nw nmefika chuo kidumu kimejaa nafanyaje sas
  2. A De prince

    Nahitaji ushauri kumpata mke wangu mtarajiwq

    NAOMBENI USHAURI...Nifanye nn? Kuna mwanamke nampenda sana saa hizi imepita miaka 5 tokea tumekuwa karibu sanaa lakini kila nikijaribu kumueleza hisia zangu ananizngua anadai haitaji kuwa kwny mahusiano... Mimi nilikuwa busy na masomo nlkuwa nmemuacha nyuma kidg kidarasa lkn tuna mawasiliano...
Back
Top Bottom