zamani malezi yalikua chini ya wazazi lakini miaka hii malezi yapo chini ya wadada wa kazi. Kwa utundu wa junior hapo hatuwez ita utundu tena huo ni ukosefu wa adabu, na huo ndio wakati sahihi wa kumyoosha huyo dogo asije akawa kituko baadae. USHAURI wazazi tujitahidi kupata mda wa kujua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.