Recent content by A-10

  1. A-10

    JamiiForums Tanzania Mama Samia akiweza kuvuka 2025, yatakuwa maajabu mapya ya ulimwengu!

    Fisiemu haitegemei kura za wananchi kubaki madarakani , walidhihirisha hilo 2020. Katiba mpya katiba mpya kwa nguvu zote na akili zote na kila aina ya resources.
  2. A-10

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Wahuni/wachawi. Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  3. A-10

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Hii nchi ina watawala wa hovyo hatujawahi kupata. Nimemsikiliza spika yaani hadi nimeona aibu . Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  4. A-10

    JamiiForums Tanzania Wilson Mahera: Kwenye Uchaguzi kama watu wanakatwa huko chini, kuonewa, kutoruhusiwa kuingia vituoni, semeni

    Mpambafu sana huyu. Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  5. A-10

    JamiiForums Tanzania Kabla ya 2025 Rais Samia atasema Uchaguzi wa 2020 haukuwa huru

    Mkuu, mwendazake alishaenda zake, kuhusu teuzi nafikiri labda kaoge maji ya bahari uondoe mikosi unaweza kulamba teuzi [emoji12][emoji12][emoji12]
  6. A-10

    JamiiForums Tanzania Wakati Uingereza wanashinikiza Waziri Mkuu wao ajiuzulu, sisi hapa Tanzani, Polisi anamchoma sindano mfanyabiashara na kumuua tumekaa kimya!

    Mimi sitaki kuusingizia mwenge, Sisi ni maiti zinazotembea .
  7. A-10

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

    Kesi ya mchongo lazima ukutane na ambayo hukutarajia.
  8. A-10

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

    Kilio sijui Urio kazi anayo,ataomba kwenda msalani mara tatu tatu.
  9. A-10

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

    WE nae ni mwehu kama alivyokuwa mwehu mwenda zake .
  10. A-10

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

    Umeshajiita mjinga weye, unafikiri mahakama inapokea hadithi ?
  11. A-10

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

    Ni kweli tena ushahidi usiotia shaka,kwa sms hizo na hadith za kusimulia hizo, lazima Mbowe aishie gerezani. Kinyelo cha gegedu we.
  12. A-10

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

    Acha ujinga uliokubuhu mkuu,kwahiyo unafikiri mahakama inapokea hadithi iache kupokea ushahidi wenye mashiko ?
  13. A-10

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

    Huyu ndo Urio na ushahidi wake? Bullshit. Nilijua nitaona sms angalau zinazosema mabomu/baruti zipo tayari,mashoka ya kukatia miti tayari. Wasichojua hawa mataahira wanafikiri mahakama inapokea tu maneno hata yaliyo nje ya ushahidi wa maandishi uliouleta mwenyewe.
Back
Top Bottom