Recent content by _Cashy

  1. _Cashy

    Je, kuna tofauti gani ya maisha ya Kenya vs Tanzania na Uganda?

    Mm ndo nlkuwa star mana najua kiswahili kwaiyo jion wanakusanyika naongea kiswahil mtoto wa Tz😂😂wanafurah wenyw😂
  2. _Cashy

    Je, kuna tofauti gani ya maisha ya Kenya vs Tanzania na Uganda?

    😂I remember tulienda kupeleka msiba wa mamangu 2007 kijijin kwa bibi Mzaa baba panaitwa kadem aseeee awa watu ni wakabila Yan shule tunafundishwa kijaluo kanisan ibada kijaluo ad nkasahau kiswahil jameni 😂babangu akagoma kabisa nibaki uko anasema haoni future na ni kwao😂🤲
Back
Top Bottom