Kiukweli hauwezi kumforce mtu aamini kama unavyoamini wewe , wengine tutaamini katika Allah wapo wataoamini katika Jehova na wapo wanaosujudia na kuabudi ng’ombe, masanamu, uchawi na upana wake all in all wote tunaishi na tunafanikiwa kwa kila mtu kwa upande wake
Hauwezi ukamuamulia mtu amini...
Asante mkuu, yeah mambo mengi yanatokea kwenye koo zetu , mambo ambayo babu alikuaga nayo so na wewe yanakukuta, pengine inakuwa mikoba kwa maana ya uganga
Uhalisia ndio huo, sema mkimpata doctor mzuri atawaambia endeleeni na tiba ya hapa hospital na pia angalieni na mjaribu na mambo yenu ya kitamaduni uenda mkapata ufumbuzi, wapo madoctor waelewa lakini ni wachache
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.