Recent content by 2mcph

  1. 2mcph

    Baba yangu hakuniachia urithi lakini ndugu zangu wengine wamepewa wote, je nikijitenga na ile familia nakosea?

    Kama hajataja sababu za kukunyima urithi ulitakiwa kwenda kupinga mahakaman. Sababu hizo ni kama kumtishia kumuua kipindi Cha uhai wake au kama ushawah kutoka na mke wake. Tofauti na hapo hairuhusiwi kumnyima mtoto au mke urithi
Back
Top Bottom