Recent content by 2in1

  1. 2in1

    Ushauri: Niende Serikalini au nibaki private sector

    28yrs, Mechanical Eng, Malengo ni kujiajiri hadi nikifikia 40yrs(Mungu akijaalia) nataka nisiwe kwenye haya mambo ya ajira tena
  2. 2in1

    Ushauri: Niende Serikalini au nibaki private sector

    Asante kiongozi, ni kweli private mshahara mkubwa lakini sina muda wa kufanya jambo lolote la ziada nimebanwa sana ila pia sijapata uhakika kama na huko serikalini napo hakubani kama huku
  3. 2in1

    Ushauri: Niende Serikalini au nibaki private sector

    Ningekujibu mkuu ila wenzangu wanapita sana humu nikikujibu hayo wazee wa kuunganisha dots watanijua na mm sitaki mtu anifahamu hasa wa kazini mana mpka sasa hamna anayejua kama nimepata kazi nyengine. Ukiangalia hata post yangu kuna vitu vingi sijavisema kwa maksudi kabisa kuna watu wana akili...
  4. 2in1

    Ushauri: Niende Serikalini au nibaki private sector

    Dah sio poa, haiwezekani kuhama taasisi?
  5. 2in1

    Ushauri: Niende Serikalini au nibaki private sector

    E government ndio nn kiongozi
  6. 2in1

    Ushauri: Niende Serikalini au nibaki private sector

    Hapo kuwa na familia sijaelewa point yako mkuu
  7. 2in1

    Ushauri: Niende Serikalini au nibaki private sector

    1.Niliomba taasisi kubwa ya serikali mzee na ningepata huko nisingejishauri kwa chochote ningeenda sema nilikosa nafasi jina likabaki kwenye database ndio wamenipangia huko halmashauri sahv ambapo sikuombea ajira nimepangiwa tu 2.Mechanical Engineer
  8. 2in1

    Ushauri: Niende Serikalini au nibaki private sector

    Hahaha we jamaa umewaza nje ya box
  9. 2in1

    Ushauri: Niende Serikalini au nibaki private sector

    Niliomba taasisi kubwa ya serikali mzee na ningepata huko nisingejishauri kwa chochote ningeenda sema nilikosa nafasi jina likabaki kwenye database ndio wamenipangia huko halmashauri sahv ambapo sikuombea ajira nimepangiwa tu
  10. 2in1

    Ushauri: Niende Serikalini au nibaki private sector

    Nachanganyikiwa haswaa
  11. 2in1

    Ushauri: Niende Serikalini au nibaki private sector

    Bado mkuu sijawahi kumaliza mkataba, ila kurenew uhakika
  12. 2in1

    Ushauri: Niende Serikalini au nibaki private sector

    Wakuu habari, niliomba kazi taasisi flani ya umma (utumishi) sikupata nafasi jina langu likahifadhiwa kwenye database juzi kati kuna mkeka wa kuitwa kazini umetoka na jina langu likiwemo kwenye kazi za halmashauri. Ila kwa sasa kuna taasisi binafsi nafanya kazi ambayo nalipwa vizuri sana...
  13. 2in1

    Nauza laptop HP kwa shilingi 300,000 tu

    ISHAUZWA
  14. 2in1

    Nauza laptop HP kwa shilingi 300,000 tu

    nimekucheki pm mkuu
Back
Top Bottom