Recent content by 255659542388

  1. 255659542388

    JamiiForums Tanzania JWTZ na Serikali waache kudanganya/Kuhadaa Vijana

    Uhakika mwamba mie mwenyewe op samia suluh nimefanya usahili mara 3 lakin majina yanayo kuja ni ya watu wa uraiani aise.inauma sana kwa yeyote anaejua nini maana ya service man/girl wa kujitolea yan tumefanya kazi nyingi mno za kuzalisha halafu wala hatuonekqni dah haina umuhimu wa mafunzo ya...
  2. 255659542388

    JamiiForums Tanzania Majina ya walio fanya usahili wa polisi aug/2023

    Hivi Lin yatakuja majina ya waliofanya usaili wa polisi jaman coz ipo kimya sana
Back
Top Bottom