Acha kujifajiri. Unajua fika hizo kazi ni nadra sana kupata mtu mweusi . Truth is Brazzaville ni makao makuu tu ila hiyo position inampaka mamlaka ya Africa nzima. Kwa ufupi Tanzania tutatuma taarifa zetu za hayo magonjwa kwake. She is got a huuuuge power kama huo uteuzi ni kweli.
Anatafutwa mtaalam wa kuandaa pizza, sandwich, burger, nk. kwa kiwango cha hali ya juu. Awe tayari kuishi mkoani maana ndiko biashara inakotarajiwa kufunguliwa . (makao makuu ya mkoa fulani Tanzania bara .)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.