Duuh ndugu yangu pole sana. heri walau umepata things kama hizo ni za kuwekana sawa kama unaplan naye.........as for me 5 years sijapata mwanamke na sina mwanamke hadi sasa.....haya yule tu wa kuchat naye sina can you imagine? if something is wrong with her then you can make them right i...
Mwanamke awe na elimu walau kidato cha nne.....hata akiwa college educated sawa....Umri asizidi miaka 35. Awe amepevuka kiakili/fikra, kwa kuwa nahitaji life partner hivyo nitapenda awe msikivu mwelevu pia mvumilivu kwani najua kwenye kuachieve great things uvumilivu utahitajika. Awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.