Recent content by 2021-02-00215

  1. 2021-02-00215

    AVN number kutoka Nactvet

    Aaah Asante Mkuu kwa kunielewesha
  2. 2021-02-00215

    AVN number kutoka Nactvet

    Habari ndugu zangu, Mimi nimehitimu diploma lakini form four Nina pass tatu Pekee (yaani Kiswahili C, English C na histori C,) form six nna division 3 ya 14 na diploma nna GPA ya 3.2 nimejaribu kuomba AVN mfumo unataka niongeze pass nyingine ili ziwe nne je ishu ya AVN kwenye ajira za...
  3. 2021-02-00215

    Msaada juu ya Award Verification Number (AVN)

    Habari Wakukuu Mimi form four nini pass tatu Pekee Yaani kiswa C , histori C na English C nikaingia five na six nikapata division ya kusoma diploma nikaingia UDSM nikapata GPA ya 3.2 Sasa nikajaribu kuomba AVN namba ikagoma wakaniambia naitaji kuongeza pass nyingine ili ziwe nne na Mimi Sina...
Back
Top Bottom