Tunaiomba tamisemi ituwekee hewani orodha yetu ya majina ya walimu wapya kwa mwaka wa kumalizia masomo 2014/15 kama walivyotuahidi sisi wahitimu kupitia vyombo mbalimbali nchi Tanzania kama vile Runinga:ITV,Magazet:Habarileo .Tanzania daima.Katika gazeti la habari leo lilinukuliwa likisema...
I'm 2014/15 tusijaribu kupeana maswali ya kuwakatisha tamaa walimu kwani wakipata ajira wataweza kuikomboa jamii ambazo zilihitaji wapate walimu kwa watoto wao.hawa ni watu muhimu katika jamii ,haifai kukatiswa moyo kwa maswali ambao huwenda tunaweza kusema hayana hisia za...
kwa masikio yangu nimesikia magazeti ya leo asubuhi ,gazeti la TANAZANIA DAIMA likisomwa katika kituo cha ITV ,lasema serekali kuajiri walimu 34,000 .
,ajira bado hazijatoka limesema mwezi huu huu yatatolewa majina.
Allah sw atujaalie tuwemo na tupate maeneo yanayokalika.
BY:2014/15.
NENDA...
kwa masikio yangu nimesikia magazeti ya leo asubuhi ,gazeti la TANAZANIA DAIMA likisomwa katika kituo cha ITV ,lasema serekali kuajiri walimu 34,000 .
,ajira bado hajatoka limesema mwezi huu huu yatatolewa majina.
Allah sw atujaalie tuwemo na tupate maeneo yanayokalika.
BY:2014/15.
NENDA...
mm nahisi ipo haja ya kuangalia maslahi ya upande wa pili anaotaka kuenda kabla ya kuchukuwa maamuzi ya aina yoyote,ikiwa maslahi ni mazuri ni vyema akamuombe mungu la ikiwa maslahi mabaya ni afadhali kubakia hapo alipo .
kwa yoyote ambaye mwenye kuweza kutupatia taarifa juu lini ajira mpya za walimu wapya 2015/16 ,tunamuomba atusaidie ili tujuwe lini ajira hizi zitaweza kuwekwa hewani kutoka tamisemi kupitia wizara ya elimu na mafunzo ya amali.kwa ukweli muda umeshakuwa mwingi .
kiukweli sio kawaida kwa miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.