Upo sahihi mkuu!
Bongo bado bongo zimelala na ndiyo maana hawa washenzi wanaweza kutujibu wanavyojisikia
Nimemsikia msigwa anasema wanaowaza kuandamana tarehe 29 wanajisumbua bure haiwezekani
Kwa nchi Ambazo wananchi wako na akili timamu hawezi kujibu hivyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.