suala la kuharibika kwa meno ni kubwa sana kwa sasa hii haijarishi kinywa chako ni kisafi vipi, meno huharibika kutokana na acid inayozalishwa na bacteria wanaotumia sukari kama chakula chao, wakati wanatumia sukari hiyo, fermentation hutokeo na kusabisha acid kuongezeka kinywani ambayo...