Recent content by 123yrz

  1. 123yrz

    JamiiForums Tanzania Wale wa NACTE, wahini haraka sana kureset na kufanya tena choice

    Nimechanganyikiwa mkuu. Selection bado zinaendele kwan?
  2. 123yrz

    JamiiForums Tanzania Wale wa NACTE, wahini haraka sana kureset na kufanya tena choice

    Mie profile yangu haijabadirika chochote mkuu na nipo mbali na Dar
  3. 123yrz

    JamiiForums Tanzania Wale wa NACTE, wahini haraka sana kureset na kufanya tena choice

    Nilijua niko pekeangu. Jaribu kuwatumia email mkuu
  4. 123yrz

    JamiiForums Tanzania Wale wa NACTE, wahini haraka sana kureset na kufanya tena choice

    Nipo mkoan mkuu, sina hata email zao
  5. 123yrz

    JamiiForums Tanzania Wale wa NACTE, wahini haraka sana kureset na kufanya tena choice

    Msaada wakuu, profile yangu ipo vile vile naambiwa stay calm pia niki search jina langu kwenye ile link waliotoa TCU jina langu hakuna. Kunauwekano wakua nimeshakosa chuo au selection bado zinaendelea?
  6. 123yrz

    JamiiForums Tanzania Wale wa NACTE, wahini haraka sana kureset na kufanya tena choice

    Nimeona mwana, Mungu atusaidie tupate chuo
  7. 123yrz

    JamiiForums Tanzania Wale wa NACTE, wahini haraka sana kureset na kufanya tena choice

    Profile yangu ipo vile vile mkuu, sjaambiwa chochote zaid ya stay calm
  8. 123yrz

    JamiiForums Tanzania Wale wa NACTE, wahini haraka sana kureset na kufanya tena choice

    Nashkuru mkuu ila jina langu hakuna. Sjui ndo nimekosa chuo?
  9. 123yrz

    JamiiForums Tanzania Wale wa NACTE, wahini haraka sana kureset na kufanya tena choice

    Nielekeze mkuu maana naweza nikawa nakosea.
  10. 123yrz

    JamiiForums Tanzania Wale wa NACTE, wahini haraka sana kureset na kufanya tena choice

    Nimeona mkuu ile ni form six tu angalia vizuri
  11. 123yrz

    JamiiForums Tanzania Wale wa NACTE, wahini haraka sana kureset na kufanya tena choice

    Mie diploma mkuu
  12. 123yrz

    JamiiForums Tanzania Wale wa NACTE, wahini haraka sana kureset na kufanya tena choice

    Mie bado vile vile tu
  13. 123yrz

    JamiiForums Tanzania Wale wa NACTE, wahini haraka sana kureset na kufanya tena choice

    Waha jamaa kimya tu mpaka sasa
  14. 123yrz

    JamiiForums Tanzania Wale wa NACTE, wahini haraka sana kureset na kufanya tena choice

    Dah hata sielew,
Back
Top Bottom