Recent content by 0787510341

  1. 0

    Fumbo la kuku

    Kushiba tena!?
  2. 0

    Nitoeni njiapanda

    Natamani siku zisonge na miaka iendelee kwa kasi hii hii ili UMASIKINI uzeeke na UTAJIRI uchipue na kukua kama mti wa MBUYU Sina mradi wala wazo lolote, sina lengo wala ndoto yeyote naona maisha yanasonga kama ilivyo desturi yake Mara Giza wakati wa usiku Mara mwanga gafla siku nyingine...
  3. 0

    Fumbo la kuku

    Pamoja na udhalimu wote ambao kuku anafanyiwa na bidamau bado kuku hajawahi kuuwaza Uhuru wake..!! Sio kuku tu hata binadamu hajawahi kufikiria kumpatia kuku Uhuru wake ili akaishi mbali kwa amani pasi na hofu ya kisu chake..! Kwa hifadhi ya mabanda machakavu pamoja na shibe ya masalia ya...
Back
Top Bottom