Recent content by 0704

  1. 0

    JamiiForums Tanzania Canon Rebel T2I (550D) inauzwa

    Habari Nauza kamera tajwa hapo juu. Iko katika very good condition. Nilikuwa naitumia kushuti video za kitchen parties nilizokuwa naandaa. Haijatumika muda mrefu nimenunua ya juu yake ambayo ina flip screen, kwahiyo hii nayoiuza Sina matumizi nayo. Bei sh. 680,000. Inakuja na: -Lens hood...
  2. 0

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mazda Biantr

    Habari wakaka na wadada Natafuta gari aina ya Mazda Biante ya mwaka 2008 au hata zaidi. Anayeuza ani PM
  3. 0

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Nissan Serena

    Nasikia zinaogopwa hata na wezi wa magari! Wakiziuza haziuziki hata wakibomoa wachukue spare wauze hazina wanunuzi
  4. 0

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Nissan Serena

    Habari ya Sunday Mimi nimekuwa nikijaribu kutafuta gari kwa ajili yaatumizi ya ngu na napendelea minivans. Nikawa natafuta mtu anayeuza hilp gari bongo ili ninunue. Lakini ñayapata mtandaoni hàya magari yanauzwa bei ndogo sana. Ni kama thamani yake inashuka haraka kuliko mfano Noah na Alphard...
  5. 0

    JamiiForums Tanzania Kinanda Cha studio kinauzwa

    Nimesahau kuweka jina lake. Linaitwa M AUDIO workstation 61 keys mk3 professional midi controller
  6. 0

    JamiiForums Tanzania Kinanda Cha studio kinauzwa

    Fanya maamuzi Leo, utasubiri Hadi lini haha
  7. 0

    JamiiForums Tanzania Kinanda Cha studio kinauzwa

    Habari wadada na wakaka. Nauza kinanda Cha studio ni kama kipya kinatumika kutengenezea muziki yaani MIDI Controller. Kinatumia sauti za program ya computer mfano cubase nk kupata sautii za aina mbalombali Bei ya punguzi sh 480,000. Kikiwa dukani vinauzwa sh 800,000 kwa hiyo nimefanya bei nzuri...
  8. 0

    JamiiForums Tanzania CPU Inauzwa Dell Omniplex 780

    Piga simu tufanye biashara 0769308197
  9. 0

    JamiiForums Tanzania Vitanda 4 vya futi 3 x futi 6 vinauzwa

    Vitanda vyote vimeuzika
  10. 0

    JamiiForums Tanzania CPU Inauzwa Dell Omniplex 780

    Ukitaka full system lakini kwa wale wanaopenda kujifunzia kugonga beats unapata na kinanda, MAudio workstation 61 keys mk3 jumla sh 680,000
  11. 0

    JamiiForums Tanzania CPU Inauzwa Dell Omniplex 780

    Ukitaka full system nikimaaniaha monitor CPU mouse na keyboard we ni kuweka na kuanzia fanya kazu ni sh 250,000
  12. 0

    JamiiForums Tanzania CPU Inauzwa Dell Omniplex 780

    Natumaini mko poa. Mimi nauza CPU yenye jina Dell Omniplex 780 Intel cup duo 3.06 GHZ, 6.0 GB RAM na HDD 210. Hii ilikuwa inatumika ofisini Bei sh 150,000 Imerumika miezi kadhaa tu Piga hii namba 0769308197. Hii alikuwa anatumia mume wangu. Ameniambia nimsaidia kuuza kwa niaba yake. Hizi...
  13. 0

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Unatafuta gari zuri la kuagiza nje ya nchi? Pita hapa

    Habari kaka. Nikitaka uniagizie Toyota Mark Ii gx110 itakuwa sh ngapi,?
  14. 0

    JamiiForums Tanzania Madirisha ya nondo yanauzwa

    Habari ya ijumaa. Nategemea mko na amani ya moyoni kwa kiwa Leo ni siku ya ijumaa. Madirisha ya nondo na fremu ya mbao yanauzwa. Kulikuwa na servant quarter inajengwa yakabaki hayo madirisha 2 kwa kuwa design ya ujenzi ili adilika. Yapo madirisha mawili. Jumla bei sh 90,000. Urefu futi 4 upana...
  15. 0

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Unatafuta gari zuri la kuagiza nje ya nchi? Pita hapa

    Kama Nina sh 10M nikitaka kuagiza gari kutoka nje, sio la kununua hapa nchini, la kuagiza nje, je kwa sh 10m naweza pata gari gani?
Back
Top Bottom