Habari wakuu mimi naitwa nickyson mkazi wa kibaha. Naomba msaada mkewangu nim mjamzito na ni mgonjwa amekua akilalamika kua kichwa kinamuuma na tumbo. pia anasikia barid kali san huku mwili unachemka sana. Na misuli ya mgongo inamuuma tumeenda zahanati wamempima malaria hana UTI Hana. Nilikua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.